Ufafanuzi wa mpakuaji katika Kiswahili

mpakuaji

nominoPlural wapakuaji

  • 1

    mtu anayepakua kitu k.v. chakula kutoka kwenye chombo k.v. sufuria.

  • 2

    mrina

Matamshi

mpakuaji

/m pakuaʄi/