Ufafanuzi wa mpambaji katika Kiswahili

mpambaji

nominoPlural wapambaji

  • 1

    mtu anayetia nakshi au urembo kwenye kitu au mtu k.v. bibi harusi.

Matamshi

mpambaji

/m pambaʄi/