Ufafanuzi msingi wa mpambano katika Kiswahili

: mpambano1mpambano2

mpambano1

nomino

  • 1

    mshikano wa mambo; mjumuiko wa mambo.

Matamshi

mpambano

/m pambanÉ”/

Ufafanuzi msingi wa mpambano katika Kiswahili

: mpambano1mpambano2

mpambano2

nomino

  • 1

    makabiliano ya kuonyeshana vitendo k.v. kwenye ngoma.

    ‘Leo kuna mpambano’

Matamshi

mpambano

/m pambanÉ”/