Ufafanuzi wa mpambauke katika Kiswahili

mpambauke

nominoPlural mipambauke

  • 1

    mmea wenye maua yanayonukia na unafanana na muafu.

Matamshi

mpambauke

/m pambaukɛ/