Ufafanuzi wa mpangilio katika Kiswahili

mpangilio

nominoPlural mipangilio

  • 1

    mfuatano wa mambo kwa utaratibu unaoeleweka.

    ‘Mpangilio wa kazi zako si mzuri hata kidogo’

Matamshi

mpangilio

/m pangilijɔ/