Ufafanuzi wa mpangishaji katika Kiswahili

mpangishaji

nominoPlural wapangishaji

  • 1

    mtu anayekodisha watu mahali pa kukaa au pa biashara.

Matamshi

mpangishaji

/m pangi∫aʄi/