Ufafanuzi wa mpapai katika Kiswahili

mpapai

nominoPlural mipapai

  • 1

    mmea wenye shina laini na refu na majani mapana yanayoshikiliwa na vikonyo virefu vyenye uwazi ndani vinavyoota sehemu ya juu ya shina, unaozaa mapapai yaliwayo yenye uwazi katikati na mbegu ndogondogo nyeusi.

Matamshi

mpapai

/m papaji/