Ufafanuzi wa mpapaso katika Kiswahili

mpapaso

nomino

  • 1

    hali ya kugusa kwa taratibu kwa vidole au kiganja cha mkono.

Matamshi

mpapaso

/m papasÉ”/