Ufafanuzi wa mpapatiko katika Kiswahili

mpapatiko

nomino

  • 1

    hali ya kurukaruka huku na huko kwa sababu ya maumivu.

  • 2

    hali ya kutokuwa na makini.

Matamshi

mpapatiko

/m papatikÉ”/