Ufafanuzi wa mparamuzi katika Kiswahili

mparamuzi

nominoPlural miparamuzi

  • 1

    mti mrefu ulionyoka wenye shina la rangi ya manjano isiyokoza, matawi yaliyo juu sana na usiopandika kwa sababu ya utelezi.

    mgude, mfune

Matamshi

mparamuzi

/m paramuzi/