Ufafanuzi wa mparuzo katika Kiswahili

mparuzo

nomino

  • 1

    alama inayoachwa mahali baada ya kuparuzwa.

Matamshi

mparuzo

/m paruzɔ/