Ufafanuzi wa mpasuasanda katika Kiswahili

mpasuasanda

nominoPlural wapasuasanda

  • 1

    ndege anayefanana na kirukanjia, mwenye rangi ya kahawia iliyokoza na madoa meupe kifuani, ana manyoya mawili marefu yanayochomoza kwenye mbawa zake.

    nyomvi, gawa

Matamshi

mpasuasanda

/m pasuwasanda/