Ufafanuzi wa mpato katika Kiswahili

mpato

nominoPlural mipato

  • 1

    kipande cha mti au kibao chepesi kinachoelea juu ya maji, agh. hufungwa vingi kwenye wavu wa kuvulia samaki au dema.

    pungu

Matamshi

mpato

/m patɔ/