Ufafanuzi wa mpeketevu katika Kiswahili

mpeketevu

nominoPlural wapeketevu

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kuchochea mambo, agh. ya fujo au ugomvi.

    mchochezi, mchonganishi

Matamshi

mpeketevu

/m pɛkɛtɛvu/