Ufafanuzi wa mpelelezi katika Kiswahili

mpelelezi

nominoPlural wapelelezi

  • 1

    mtu anayefanya kazi ya kuchunguza watu au wahalifu.

    mdadisi, mdunzi, duzi, mtesi, kachero

Matamshi

mpelelezi

/m pɛpɛlɛzi/