Ufafanuzi wa mpepetaji katika Kiswahili

mpepetaji, mpetaji

nomino

  • 1

    mtu anayepembua nafaka kwa ungo.

Matamshi

mpepetaji

/m pɛpɛtaʄi/