Ufafanuzi wa mpera katika Kiswahili

mpera

nominoPlural mipera

  • 1

    mti wenye shina gumu na majani yaliyochongoka, uzaao mapera yenye mbegu nyingi ndogondogo na ngumu na yanayoliwa.

Matamshi

mpera

/m pɛra/