Ufafanuzi wa mpesheni katika Kiswahili

mpesheni

nominoPlural mipesheni

  • 1

    mmea wa kutambaa unaozaa pesheni.

    mkarakara

Matamshi

mpesheni

/m pɛ∫ɛni/