Ufafanuzi wa mpesi katika Kiswahili

mpesi

nominoPlural mipesi

  • 1

    mti ambao magome yake hutumiwa kutilia rangi na kusugulia mishipi ili iwe imara.

    mkasiri, kipia

Matamshi

mpesi

/m pɛsi/