Ufafanuzi wa mpeta katika Kiswahili

mpeta

nominoPlural mipeta

  • 1

    karafuu zilizoanguka zenyewe kutoka mtini.

Matamshi

mpeta

/m pɛta/