Ufafanuzi wa mpigaji katika Kiswahili

mpigaji, mpiga

nominoPlural wapigaji

  • 1

    mtu anayefanya kitendo cha kupiga.

    ‘Mpigaji ngoma’
    ‘Mpigaji tarumbeta’

Matamshi

mpigaji

/m pigaʄi/