Ufafanuzi wa mpiganaji katika Kiswahili

mpiganaji

nominoPlural wapiganaji

  • 1

    askari jeshi.

  • 2

    mtu mwenye ujuzi wa kupigana k.v. ngumi au miereka.

    ghazi

Matamshi

mpiganaji

/m piganaʄi/