Ufafanuzi wa mpigapicha katika Kiswahili

mpigapicha

nomino

  • 1

    mtu anayepiga picha kwa kamera.

Matamshi

mpigapicha

/m pigapitʃa/