Ufafanuzi wa mpigataipu katika Kiswahili

mpigataipu

nominoPlural wapigataipu

  • 1

    mtu anayeandika kwa taipureta.

    ‘Mpigataipu siku hizi anatumia kompyuta’

Matamshi

mpigataipu

/m pigataipu/