Ufafanuzi wa mpikaji katika Kiswahili

mpikaji

nominoPlural wapikaji

  • 1

    mtu anayepika k.v. chakula, chang’aa, n.k..

Matamshi

mpikaji

/m pikaʄi/