Ufafanuzi wa mpindia katika Kiswahili

mpindia

nomino

  • 1

    mkeka unaotiliwa sanda baada ya kushonwa.

Matamshi

mpindia

/m pindija/