nominoPlural mipira
- 1
kitu cha mviringo kinachodunda na kinachotumiwa katika michezo mbalimbali k.v. kandanda, netiboli au tenisi.
- 2
mchezo unaochezwa kwa kutumia kitu hicho.
‘Mpira wa miguu’‘Mpira wa wavu’‘Mpira wa pete’
nominoPlural mipira
- 1
mti ambao hutoa utomvu mzito mweupe unaogandishwa na kutengenezwa vitu mbalimbali k.v. magurudumu au viatu.
- 2
utomvu wa mti huo.