Ufafanuzi wa mpitanjia katika Kiswahili

mpitanjia

nominoPlural wapitanjia

  • 1

    mtu anayepita mahali fulani.

Matamshi

mpitanjia

/m pitanʄija/