Ufafanuzi wa mpitisho katika Kiswahili

mpitisho

nominoPlural mipitisho

Fizikia
  • 1

    Fizikia
    tendo la kusafirisha joto au umeme katika kifaa k.v. metali.

Matamshi

mpitisho

/m piti∫ɔ/