Ufafanuzi wa mpombo katika Kiswahili

mpombo

nomino

  • 1

    mti wenye miba na majani madogomadogo meusi ambayo yakipata maji huteleza.

Matamshi

mpombo

/m pɔmbɔ/