Ufafanuzi wa mpopoo katika Kiswahili

mpopoo

nominoPlural mipopoo

  • 1

    mti unaozaa popoo za duara, ngumu na hufunikwa na makumbi kama nazi, ambazo hukatwa vipande vyembamba na kutafunwa pamoja na tambuu.

Matamshi

mpopoo

/m pɔpɔ:/