Ufafanuzi msingi wa mpororo katika Kiswahili

: mpororo1mpororo2

mpororo1

nominoPlural mipororo

  • 1

    mwandamano wa vitu au watu mmoja baada ya mwingine.

    ‘Watu wameandamana mpororo’
    sanjari

Matamshi

mpororo

/m pɔrɔrɔ/

Ufafanuzi msingi wa mpororo katika Kiswahili

: mpororo1mpororo2

mpororo2

nominoPlural mipororo

  • 1

    alama ya chale za kabila zinazochanjwa puani.

Matamshi

mpororo

/m pɔrɔrɔ/