Ufafanuzi wa mpotovu katika Kiswahili

mpotovu

nominoPlural wapotovu

  • 1

    mtu aliyepotoka kwa kufanya kosa au kudanganyika.

Matamshi

mpotovu

/m pɔtɔvu/