Ufafanuzi wa mpumbavu katika Kiswahili

mpumbavu

nominoPlural wapumbavu

  • 1

    mtu anayeshindwa kuelewa jambo hata akielezwa.

    juha, zuzu, jura, nyange, baghami, bahau, fala, hambe, jahili, maarasi, zebe, mbumbumbu, majinuni, bozi, gulagula, bwege, renge, tobwe

Matamshi

mpumbavu

/m pumbavu/