Ufafanuzi wa mpunga katika Kiswahili

mpunga

nominoPlural mipunga

  • 1

    mmea aina ya nyasi ndefu unaopandwa, hasa katika mashamba yenye majimaji, na kuzaa mashuke yenye nafaka.

  • 2

    punje za mmea huo ambazo hazijaondolewa makapi, zinapoondolewa makapi huwa mchele.

Matamshi

mpunga

/m punga/