Ufafanuzi wa mpupu katika Kiswahili

mpupu

nominoPlural mipupu

  • 1

    mmea unaoparamia miti ambao una majani yanayofanana na ya mharage na wenye upupu ambao ukigusana na ngozi huwasha sana.

Matamshi

mpupu

/m pupu/