Ufafanuzi wa mpwa katika Kiswahili

mpwa

nominoPlural wapwa

  • 1

    mtoto wa dada wa mtu mwanamume; jina analotumia mjomba kumwita mtoto wa dadake.

Matamshi

mpwa

/m pwa/