Ufafanuzi msingi wa mpweke katika Kiswahili

: mpweke1mpweke2

mpweke1

nomino

 • 1

  mtu anayejitenga na wenzake.

 • 2

  mtu anayekuwa peke yake bila mwenzake.

Matamshi

mpweke

/m pwɛkɛ/

Ufafanuzi msingi wa mpweke katika Kiswahili

: mpweke1mpweke2

mpweke2

nomino

 • 1

  mti mgumu unaotumiwa sana kutengenezea bakora au fimbo.

 • 2

  fimbo iliyotengenezwa kutokana na mti huo.

 • 3

  fimbo yoyote ya kupigania.

  mhambarashi

Matamshi

mpweke

/m pwɛkɛ/