Ufafanuzi wa mrabaha katika Kiswahili

mrabaha

nominoPlural mirabaha

  • 1

    biashara inayofanywa na mtu na hali anampelekea mwenye mali kiasi fulani cha faida anayopata.

  • 2

    faida au pato linalotokana na biashara.

  • 3

    malipo anayopewa mwandishi au msanii na kampuni iliyotoa kazi yake kila baada ya kipindi fulani cha mauzo.

Asili

Kar

Matamshi

mrabaha

/mrabaha/