Ufafanuzi wa mrajisi katika Kiswahili

mrajisi

nomino

  • 1

    ofisa wa serikali au wa mashirika au kampuni binafsi anayeweka kumbukumbu za matukio mbalimbali k.v. uzazi au vifo.

Asili

Kng

Matamshi

mrajisi

/mraʄisi/