Ufafanuzi wa mrama katika Kiswahili

mrama

kielezi

  • 1

    kwa upandeupande; kwa msepetuko; isivyo.

    ‘Chombo kinakwenda mrama’
    pepe

Asili

Kar

Matamshi

mrama

/mrama/