Ufafanuzi wa mrao katika Kiswahili

mrao

nominoPlural mirao

  • 1

    msimu wa mavuno wakati wa kipupwe.

Asili

Kar

Matamshi

mrao

/mrawɔ/