Ufafanuzi wa mrengu katika Kiswahili

mrengu

nominoPlural mirengu

  • 1

    bao linalofungwa pambizoni mwa ngalawa ili kuifanya iwe na mizani sawa pande zote mbili.

    ndubi, parapi, tengo

Matamshi

mrengu

/mrɛngu/