Ufafanuzi wa mrihi katika Kiswahili

mrihi

nominoPlural mirihi

  • 1

    mti ambao magome yake hutoa kamba za kufungia pau au kombati za nyumba.

    mriti

Matamshi

mrihi

/mrihi/