Ufafanuzi msingi wa mrindimo katika Kiswahili

: mrindimo1mrindimo2

mrindimo1

nomino

  • 1

    sauti ya kunguruma.

    mngurumo

Matamshi

mrindimo

/mrindimÉ”/

Ufafanuzi msingi wa mrindimo katika Kiswahili

: mrindimo1mrindimo2

mrindimo2

nomino

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    sauti inayosababishwa na kutikisika kwa nyuzisauti.

Matamshi

mrindimo

/mrindimÉ”/