Ufafanuzi wa mrukaji katika Kiswahili

mrukaji

nomino

  • 1

    mtu afanyaye michezo ya kuruka k.v. kuruka kwa urefu, kwa juu au kwa upondo.

Matamshi

mrukaji

/mrukaʄi/