Ufafanuzi wa mruko katika Kiswahili

mruko

nominoPlural miruko

  • 1

    hali au tendo la kupita kitu bila ya kukigusa kwa miguu.

  • 2

    hali au tendo la kupaa angani.

    urukaji

Matamshi

mruko

/mrukɔ/