Ufafanuzi wa mrundikano katika Kiswahili

mrundikano

nomino

  • 1

    mkusanyiko wa watu au vitu vingi pamoja katika nafasi ndogo.

Matamshi

mrundikano

/mrundikanÉ”/