Ufafanuzi wa mrututu katika Kiswahili

mrututu

nominoPlural mirututu

  • 1

    jiwe la buluu linalotengenezwa kwa shaba na dawa moja iliyo kali sana kama pilipili ambayo hutumika kusafishia kidonda.

Asili

Kar

Matamshi

mrututu

/mrututu/