Ufafanuzi wa msafara katika Kiswahili

msafara

nominoPlural misafara

  • 1

    watu, wanyama au magari yasafiriyo kwa pamoja.

  • 2

    charo

Asili

Kar

Matamshi

msafara

/msafara/